Game ya Simba Vs Yanga inanadiwa Sokoni mtu yoyote au kampuni inaweza kununua hiyo mechi Kama mechi itachezwa Neshimo bei yake Million 300 na kama inachezewa Uhuru bei ni 200 milion Wazee mpo????
Monday, April 5, 2010
Washikaji zangu wa Kc nilipokuwa Vocation
Nilikuwa KC Vocation
Wasanii kwenye Beach Party wakitesa
Hilo ni nyomi la Beach party bongo liliandaliwa na Tigo